Spiritual Healing
Kwa kuacha tabia mbaya kama vile wizi, kamari,
matumizi ya vileo au dawa za kulevya, kuwatesa watu bila sababu, au kukaa
katika marafiki wabaya, mgonjwa anapolala usingizi, mtu mwingine asome kwa
sauti ya juu kidogo kutoka umbali wa futi tatu: قُلْ هُوَ اللّٰهُ أَحَدٌ (Surah
Al-Ikhlaas yote)