Topics

Maumivu ya Mwili

 

Maumivu ya mwili yanamaanisha kuvunjika mwili, uchovu, uvivu na maumivu ya viungo.



Soma tendo iliyotolewa katika kitabu mara arobaini na moja (41) kabla ya kulala, kisha pulizia ndani ya nusu kikombe cha maji ya uvuguvugu na uyanywe.

Baada ya hapo lala bila kuzungumza.

Kwa kawaida siku tatu zinatosha, lakini kama ugonjwa ni wa muda mrefu, tendo ifanywe kwa siku kumi na moja (11).

Topics