Topics

Matibabu ya Kuumwa na Nge au Nyoka

 

Hii inahusisha kuumwa na nge, nyoka au mdudu yeyote mwenye sumu. Hata ikiwa ni athari ya dawa yenye sumu (reaction), hirizi(ta’wiz) hii hiyo itatumika.


Andika mchoro iliyopo katika kitabu kwenye sahani ya kauri kwa rangi ya manjano.

Ioshe mara kwa mara kwa maji na umnyweshe mgonjwa mpaka athari ya sumu itoweke.

Topics