Topics

Kutopenda Kusoma


Mtoto anapolala usingizi mzito, kaa karibu na kichwa chake na soma:

بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ
وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِنْ مُّدَّكِرٍ
Bismillahir-Rahmaanir-Raheem

Wa Laqad Yassarnal-Qur'aana Lidh-Dhikri Fahal Mim Muddakir

kwa sauti isiyoharibu usingizi wa mtoto.

Muda wa matibabu ni mwezi mmoja.

 

 

 

 

 

 

Topics