Topics

Mzio (Allergy)

 

Tandaza vipande vidogo vya vitambaa vya hariri vya rangi saba mahali pamoja.

Mgonjwa wa mzio achukue kipande kimoja kati ya hivyo.

Kisha juu ya kipande hicho andika kwa uzi mweusi:






Ikiwa haiwezekani kukivaa shingoni au kukifunga mkononi, basi mchoro hiyo iwekwe ndani ya mto.

Tahadhari muhimu ni kwamba mto huo usitumiwe na mtu mwingine.

Hakuna sababu maalumu inayoweza kubainishwa kwa mzio. Mtu anaweza kupata mzio kutokana na hewa, dawa, manukato au athari ya dawa kali.

Sababu yoyote ile iwepo, tiba ni hii hii.

Topics