Topics
Ndani ya sikio kuna nywele ndogo juu ya mfupa. Ikiwa
mafua yanaendelea kuelekea sikioni au ugonjwa mwingine unasababisha nywele hizi
kuwa nene, mawimbi ya sauti hayawezi kuzitikisa ipasavyo na mtu huanza kusikia
vibaya au kuwa kiziwi.
Kwa ajili ya hali hii, soma:
رَاسُ السَّمَعَ الْمَرَامْ
Raasus-Sama'il-Maraam
Kabla ya kulala usiku na mara moja baada ya adhuhuri,
pulizia kwenye kidole kidogo cha mkono wa kulia na ukizungushe ndani ya sikio.
Pia andika maneno haya kwenye karatasi kama hirizi(ta’wiz).
Wanawake waivae shingoni na wanaume waifunge mkononi.