Topics
Kwa sababu ya kufikiri sana muda wote, nuru zinazounda
mfumo wa neva hutawanyika na kupotea. Matokeo yake sehemu ya ubongo inayohusika
na fahamu hudhoofika na mtu huanza kuona ndoto za kutisha mara nyingi.
Kwa ajili ya tiba, wakati wa kutembea, kukaa au
kusimama, akiwa na udhu au bila udhu, aendelee kusoma:
اَلشَّاۃُ
نَظِیْفَۃ
Ash-Shaatu Nazeefah