Topics
Wakati hali za maisha zinakuwa ngumu sana na matatizo
hayapati suluhisho, mtu huingia katika hali ya kudumaa (stagnation).
Kutokana na hali hiyo, ufahamu, busara na nguvu ya nia
thabiti hudhoofika. Licha ya jitihada nyingi, hawezi kufikia matokeo yoyote na
hushindwa katika shughuli za maisha. Hali hii huathiri afya ya kimwili na ya
kiroho, na huwa mateso kwake pamoja na watu wa familia yake.
Kwa ajili ya kuondoa hali hii, tengeneza pete ya fedha
yenye sehemu tisa (9) na ndani ya kila sehemu uchore alama ya namba tisa (9).
Pete hiyo ivaliwe katika kidole kilicho karibu na
kidole kidogo cha mkono wa kulia.
In shaa Allah matatizo yataanza kutatuliwa.