Topics

Qul Huwa Allaahu Ahad

 

Mara moja kila siku kwa muda wa siku ishirini na moja (21).

Shinikizo la Damu, Nervous Breakdown na Magonjwa ya Akili

Andika mchoro iliyotolewa katika kitabu kwenye karatasi, itengeneze kama utambi (fleteh), uifunge ndani ya pamba na uiwashe karibu na kitanda cha mgonjwa.


Endelea na matibabu mpaka mgonjwa apone.

  • Kwa High Blood Pressure, hirizi(ta’wiz) iandikwe kwa rangi ya kijani.
  • Kwa Low Blood Pressure, iandikwe kwa rangi nyekundu.
  • Kwa Nervous Breakdown, iandikwe kwa rangi ya manjano.
  • Kwa magonjwa mengine ya akili, iandikwe kwa rangi ya buluu.

Ikiwa rangi hizi hazipatikani, rangi ya manjano ya chakula inatosha.

Muda wa matibabu ni hadi siku arobaini (40).

Utambi unaweza kutengenezwa mmoja kila siku au mingi kwa wakati mmoja. Kwa kuuwasha, tumia samli ndani ya taa ya udongo.

Topics