Topics

Kula Udongo

 

Wanawake wengi na watoto wengine hupata tabia ya kula udongo. Hali hii husababisha magonjwa mbalimbali.

Soma mara tatu hirizi(ta’wiz) iliyotolewa katika kitabu, kisha pulizia ndani ya maziwa na mpe mtoto anywe. Fanya hivyo kila unapompa maziwa.3


Ndani ya siku kumi na moja (11), tabia ya kula udongo itaondoka. Ikiwa mama pia ana tabia hiyo, asome na kupulizia maji kisha ayanywe.

Topics