Topics
Iwe ni madoa yaliyotokana na vidonda au kuungua, kwa
yote hayo soma baada ya Bismillah mara elfu moja (1000):
asubuhi kabla ya kuchomoza kwa jua na usiku kabla ya
kulala.
Kisha pulizia mikononi mwako na upake juu ya alama
hizo.
Pia kila unapokunywa maji au kinywaji chochote, soma
mara kumi na moja (11):
يَا شَافِي
Ya Shaafee
na ukipulizie kinywaji hicho kabla ya kukunywa.