Topics

Kufuta Uhamisho wa Kazi

 

Ikiwa katika kazi mtu amehamishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine au kutoka mji mmoja kwenda mwingine, na anataka uhamisho huo usitishwe, basi baada ya Swalah ya Isha asome mara kumi na tisa (19), kwa muda wa siku kumi na tisa (19), Surah yote ya:

تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ
Tabbat Yadaa Abee Lahabin Wa Tabb

Kisha aombe dua.        

Topics