Topics
Wakati mgonjwa anaangalia moja kwa moja mbele,
yafumbwe macho yake.
Juu ya jicho lililopotoka fungwa kitambaa
chepesi gizani.
Wakati wa kufunga kitambaa hiki, fanya tasawwur
(visualization) kwamba wewe na mgonjwa mpo chini ya Arsh(Kiti cha Enzi cha
Allah).
Kitambaa hiki kibaki kwa siku ishirini na moja
(21). Kikichafuka, kibadilishwe gizani.
Ni muhimu kuhakikisha kwamba wakati wa kufunga
kitambaa, mboni ya jicho inabaki katikati ili mwelekeo wa macho uwe wa moja kwa
moja.
Kwa Matendo ya Kiroho hii ya siku ishirini na
moja (21), macho yaliyopotoka hurudi katika hali ya kawaida kabisa.