Topics
Wakati mwingine watoto huendelea kukojoa kitandani
hata baada ya kufikia umri mkubwa.
Mtoto anapolala usingizi mzito, kaa karibu na kichwa
chake na usome kwa sauti isiyovuruga usingizi wake aya za mwanzo za Surah
Al-Baqarah mpaka:
يُؤْمِنُونَ
بِالْغَيْبِ
Yu'minoona Bil-Ghayb
kwa muda wa siku ishirini na moja (21).