Topics

Kupasuka kwa Mshipa wa Ubongo (Coma)

 

Wakati mwingine kutokana na pigo kali kichwani, mshtuko mkubwa au hitilafu katika mzunguko wa damu, mshipa wa ubongo hupasuka na mgonjwa hupoteza fahamu.

Hali hii pia huitwa Coma.

Matibabu yake ni kwamba sufu ya kondoo dume au ngozi ya mbuzi au kondoo ichomwe mahali ambapo moshi wake unaweza kumfikia mgonjwa.

Moshi huo huwasaidia kurejea katika hali ya kawaida seli za ubongo ambazo zilisababisha kupoteza fahamu.

Matibabu haya yanahitaji tahadhari kubwa sana, kwani uzembe mdogo unaweza kuwa hatari.

Topics