Topics

Matibabu ya Wengu (Tili)

 

Andika kwenye karatasi:                  

فَهِنْ قَطَّارٍ الْقَلَمْ
Fahin Qattaarin Al-Qalam

Mvalishe mgonjwa shingoni au uifunge juu ya sehemu ya wengu tumboni.

Weka kiasi kidogo cha majivu kwenye kidole cha shahada na soma mara moja:

يَا وَدُودُ
Ya Wadood

Kisha pulizia kwenye kidole na kwa kidole hicho chora alama ya X mara moja juu ya sehemu ya wengu.

Topics