Topics
Iwe ni dysentery ya kawaida au ya damu, sababu yake ni
michubuko ndani ya utumbo.
Katika ugonjwa huu ni muhimu kuepuka mboga zinazoota
chini ya ardhi, viungo vikali, chumvi nyingi, pilipili nyingi na nyama.
Kwa chakula tumia sago, dengu za mung, khichri yenye
sehemu mbili za dengu na sehemu moja ya mchele.
Pia kula mkate uliolowekwa vizuri ndani ya supu ya
nyama ya mbuzi yenye chumvi na pilipili kidogo sana.
Matibabu yake ni:
بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ
إِنَّ اللّٰهَ كَانَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
Bismillahir-Rahmaanir-Raheem
Inna Allaaha Kaana Bikulli Shay'in 'Aleemaa
Kabla ya kuchomoza kwa jua, pulizia ndani ya kikombe
cha maji na unywe kabla ya kula chochote kwa muda wa mwezi mmoja.
Baada ya kunywa maji hayo, usile wala usinywe chochote
kwa muda wa nusu saa.