Topics
Ikiwa mtu anataka kuhamishwa kutoka mji mmoja kwenda
mwingine au kutoka idara moja kwenda nyingine, basi baada ya Swalah ya Isha
asome Ayatul Kursi(Ayat al kursi-229) hadi mwisho mara arobaini na moja (41) na aendelee
kuomba dua kwa muda wa siku arobaini (40).
Ikiwa kwa sababu ya dharura atakosa siku fulani, basi
ahesabu siku hizo na azikamilishe baadaye.