Topics
Changanya rangi
ya manjano ya chakula ndani ya maji na utengeneze wino. Kwa wino huo andika hirizi(ta’wiz)
iliyotolewa katika kitabu kwenye sahani, kisha ioshe kwa maji na umnyweshe
mgonjwa asubuhi, alasiri na usiku.
Hirizi(ta’wiz)
hiyo hiyo iandikwe kwenye karatasi laini na nene kiasi cha urefu wa mkono
mmoja, kisha ipakwe juu ya kiungo kilichoathirika mara tatu kwa siku kwa
mzunguko unaofanana na mwendo wa saa.
Katika chakula,
epuka vitu vya baridi, vinavyosababisha gesi na chumvi.