Topics
Asubuhi kabla ya kula chochote, baada ya kufanya udhu
au kusukutua mdomo, soma mara tatu:
رَبِّ يَسِّرْ وَلَا تُعَسِّرْ
Rabbi Yassir Wa Laa Tu'assir
Kisha pulizia ndani ya maji na uyanywe.
Matendo ya Kiroho hii iendelezwe kwa muda wa siku
arobaini (40).
Ikiwa kwa sababu yoyote siku fulani itakosekana,
ihesabiwe na ikamilishwe baadaye.