Topics
Damu au kuwaka katika mkojo kunaweza kusababishwa na
mawe katika figo au kibofu, au kula vyakula vya moto na pilipili nyingi.
Soma mara moja:
بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ
هُوَ اللّٰهُ الْخَالِقُ الْبَارِئُ الْمُصَوِّرُ لَهُ
الْأَسْمَاءُ الْحُسْنٰى
Bismillahir-Rahmaanir-Raheem
Huwallahu Al-Khaaliqul-Baari'ul-Musawwir
Lahul-Asmaa'ul-Husnaa
Kisha pulizia ndani ya maji na umnyweshe mgonjwa mara
nane mchana na usiku.