Topics

Madoa Meusi Kwenye Mwili


Usiku, mgonjwa anapolala na kusiwe na uwezekano wa kuamka, mtu mmoja wa nyumbani akae karibu naye kwa umbali wa takribani shibri moja na asome:

الٓمٓ ذٰلِكَ الْكِتَابُ لَا رَيْبَ فِيهِ هُدًى لِّلْمُتَّقِينَ الَّذِينَ يُؤْمِنُونَ بِالْغَيْبِ
Alif Laam Meem. Dhaalikal Kitaabu Laa Rayba Feehi Hudal Lil-Muttaqeen. Alladheena Yu'minoona Bil-Ghayb

Tendo hii iendelezwe kwa wiki kadhaa.

Topics