Topics
Baada ya kila Swalah soma mara kumi na moja (11):
اَلْحَيُّ الْقَيُّومُ الْحَقُّ الْنُّوْرُ
Al-Hayyul-Qayyoomul-Haqqun-Noor
Kisha pulizia kwenye ncha za vidole vyote vinane na upake juu ya macho.
Roohani Elaj Swahili
Searching, Please wait..