Topics

Homa

 

Homa ya Kawaida

Andika:        

هُوَ اللّٰهُ الْخَالِقُ الْبَارِئُ الْمُصَوِّرُ لَهُ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنٰى
Huwallahu Al-Khaaliqul-Baari'ul-Musawwir, Lahul-Asmaa'ul-Husnaa

kwenye karatasi, ifunge ndani ya kitambaa cheupe na ivaliwe shingoni. Homa ikishuka, hirizi(ta’wiz) na kitambaa vyote vichomwe.

Homa ya Vipindi (Malaria Type Fever)

Andika:

قُلْنَا يَا نَارُ كُونِي بَرْدًا وَسَلَامًا عَلٰى إِبْرَاهِيمَ
Qulnaa Yaa Naaru Kooni Bardan Wa Salaaman 'Alaa Ibraaheem

kwenye mbao ya mti wa beri au karatasi ya nta, kisha ifungwe shingoni. Homa ikiondoka, hirizi(ta’wiz) ichomwe.

Topics