Topics
Pima uzi mbichi wa rangi ya buluu mara saba kulingana
na urefu wa mwili wa mgonjwa.
Kisha uufupishe kiasi cha kuweza kuvaliwa shingoni.
Soma mara moja Matendo ya Kiroho iliyotolewa katika kitabu na funga fundo moja katika uzi.
Kwa namna hiyo tengeneza mafundo ishirini na moja
(21).
Kisha mvalishe mgonjwa uzi huo shingoni.
Baada ya kupona, uzi huo utolewe na kutupwa katika
mfereji, mto au bahari yenye maji yanayotiririka.