Topics

Misuli ya Miguu au Ndama Kudhoofika

 

Chukua nusu nusu kilo ya mafuta ya ufuta mweusi.

Soma juu yake mara elfu kumi na moja (11,000):

كُلُّ شَيْءٍ يَرْجِعُ إِلٰى أَصْلِهِ
Kullu Shay'in Yarji'u Ilaa Aslihi

Mafuta yahifadhiwe ndani ya chupa iliyofungwa vizuri.

Kila siku soma angalau mara elfu moja (1,000), fungua chupa, pulizia ndani yake na uifunge tena mpaka idadi ya elfu kumi na moja ikamilike.

Matumizi:

  • Kila siku kula kiasi cha gramu tatu za mafuta juu ya mkate.
  • Pia pakaa kiasi cha gramu tatu kwa upole juu ya magoti na ndama za miguu.

Topics