Topics
Iwe ni minyoo ya aina yoyote, tiba yake ni kusoma mara
tatu Surah yote ya:
إِنَّا
أَعْطَيْنَاكَ الْكَوْثَرَ
Innaa A'taynaakal-Kawthar
kisha pulizia ndani ya maji na umpe mgonjwa anywe
asubuhi kabla ya kula chochote.
Pia wakati wowote wa mchana, soma Surah hiyo mara tatu
kwa vipindi tofauti na upulizie juu ya tumbo.
Kwa kufanya hivyo kwa siku kumi na moja (11), minyoo
yote ya tumboni huondoka.