Spiritual Healing
Kabla ya kulala usiku, soma mara ishirini na moja
(21):
وَرَفَعَ دَرَجَاتُهُمْ
Wa
Rafa'a Darajaatuhum
Kisha piga pumzi.
Muda wa tiba ni siku tisini (90).
Katika kipindi hiki, mgonjwa afunge langoti (kitambaa
cha kuunga tumbo)
kwa utaratibu.