Spiritual Healing

Kudhoofika kwa Kumbukumbu

 

Baada ya Swala ya Alfajiri soma mara tatu:

رَبِّ يَسِّرْ وَلَا تُعَسِّرْ
Rabbi Yassir Wa Laa Tu'assir

Kisha pulizia ndani ya maji na mpe mgonjwa anywe asubuhi kabla ya kula chochote kwa siku ishirini na moja (21).



 


Topics