Spiritual Healing
Hirizi(ta’wiz) iliyotolewa katika kitabu iandikwe
kwenye sahani ya kauri kwa kutumia zafarani na maji. Ioshwe kwa maziwa na mtoto
apewe funda moja au mawili mara tatu kwa siku.
Kwa tahadhari, endelea kwa siku mbili au tatu ili
athari za nimonia ziondoke kabisa.