Spiritual Healing

Kutoka Usaha Sikioni

                                               

Wakati wa kulala usiku, soma mara moja:

الَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ ۝ وَالَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ


Alladhee Khalaqa Fa Sawwaa, Walladhee Qaddara Fa Hadaa

kisha pulizia kwenye pamba safi na uiweke ndani ya sikio lililoathirika.

Asubuhi, tumia pamba mpya na urudie tendo hiyo.

Fanya mara mbili kila baada ya saa ishirini na nne. Usaha ukikoma kutoka, acha tendo hii.

Topics