Spiritual Healing

Kwa Mafanikio Katika Mitihani

 

Baada ya Swalah ya Isha, soma mwanzoni na mwishoni Sala na Salamu kwa Mtume mara kumi na moja (11), kisha soma mara mia tatu (300):

اَلْمَلِکُ الْقُدُّوْسُ اَلْمَلِکُ الْقُدُّوْسُ اَلْمَلِکُ الْقُدُّوْسُ

Al-Malikul-Quddoosu, Al-Malikul-Quddoosu, Al-Malikul-Quddoosu

Kisha omba kwa unyenyekevu kwa Allah the Almighty.

Tendo hii iendelee mpaka matokeo ya mtihani yatangazwe.

Topics