Spiritual Healing
Ikiwa kuna mawe ndani ya kibofu cha nyongo au sumu
imekusanyika humo, soma mara moja asubuhi, jioni na usiku:
اَللّٰهُ لَا إِلٰهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ
Allaahu Laa Ilaaha Illaa Huwal-Hayyul-Qayyoom
Kisha pulizia ndani ya maji na umnyweshe mgonjwa.
Endelea kwa siku arobaini (40).