Spiritual Healing
Andika kwenye sahani tatu:
بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ
اَلسَّلَاسِلُ فِی مَرْجَعِ
الْبَحْرَيْنِ يَا اَللّٰهُ
Bismillahir-Rahmaanir-Raheem
As-Salaasilu Fee Marji'il-Bahrayni Ya Allaah
Kila siku asubuhi, jioni na usiku, ioshe sahani moja kwa maji na uyanywe
kwa muda wa siku arobaini (40).
Aina ya chakula iamuliwe kwa ushauri wa daktari.