Spiritual Healing
Ikiwa uvimbe huu unatokea sehemu yoyote ya mwili:
(weka nukta katikati ya duara na ukate kwa mistari
miwili inayokatizana ili kutengeneza alama ya msalaba).
Andika mchoro iliyotolewa katika kitabu kwenye
karatasi au sahani kwa kutumia rangi ya manjano ya chakula, au zafarani na maji
ya waridi.
Ioshe kwa maji na uyanywe mara tatu kwa siku kwa muda
wa miezi kadhaa, mpaka uvimbe huo utoweke kabisa.