Spiritual Healing
Ikiwa mtoto au mtu mzima ni bubu au kiziwi tangu
kuzaliwa au kutokana na ugonjwa, fanya hivi:
Anapolala usingizi mzito, simama upande wa kulia
karibu na kichwa chake na soma mara moja:
كهيعص
Kaaf Haa Yaa 'Ayn Saad
Kila herufi isomwe peke yake.
Usiwe na haraka. Endelea kwa muda wa miezi sita (6).
Ikiwa kuna siku za kuacha kwa sababu ya ulazima, hakuna tatizo, lakini jitahidi
kutokukosa. Wanawake wanaweza kufanya tendo hii hata katika siku zao maalumu.